Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa Soko kuu la Dodoma la Majengo wakati alipotembelea soko hilo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akimkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuzungumza na wafanyabiashara wa soko kuu la Manispaa ya Dodoma la Majengo baada ya kulitembelea Oktoba 1, 2016. (Picha na ofisi ya Wziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitembelea soko kuu la Manispaa ya Dodoma la Majengo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wafanyabiashara wa soko Kuu la manispaa ya Dodoma la Majengo wakati alipolitembela Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kama kawaida ya watanzania wengi siku hizi suala la matumizi ya mbango kama njia ya kuwasilisha ujumbe wao kwa viongozi wafanyabiashara hawakuzubaa wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea soko kuu la manispaa ya Dodoma la majengo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni