.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Oktoba 2016

MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA WADAU WA NSSF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua mkutano wa sita wa Wadau wa NSSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Godfrey Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) . Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama , Jenista Mhagama (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ambako alifungua mkutano wa Sita wa NSSF kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni