.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Oktoba 2016

TAHADHARI YA UWEPO WA UKAME

Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi Msuya akifafanua jambo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliohusu utoaji wa tahadhali ya hali ya Ukame utakaosababisha kukosekana kwa chakula kwa baadhi ya maeneo nchini Oktoba 20, 2016. Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano ofisi hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi Msuya (hayupo pichani) wakati wa mkutano na wanahabari hao katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 20 Oktoba, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bi. Marystela Mtalo akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuhifadhi chakula na kulima mazao yenye kustahimili ukame wakati wa mkutano wa waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu 20 Oktoba, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni