Manchester City imerejea kileleni
mwa ligi kuu ya Uingereza licha ya Southampton kusitisha kasi yao ya
ushindi kwa kutoka sare tasa.
Wageni Southampton walikuwa wakwanza
kufuatia pasi kizembe ya John Stones, kumpa fursa ya kufunga Nathan
Redmond aliyemzungusha kipa na kufunga.
City ilianza kuimarika katika
kipindi cha pili baada ya kuzomewa na baadhi ya mashabiki wao, na
kusawazisha goli kupitia kwa Kelechi Iheanacho aliyetokea benchi.
Nathan Redmond akimzunguka kipa wa Manchester City Bravo
Nathan Redmond akiachia shuti na kufunga goli kwenye goli tu baada ya kumzunguka kipa Bravo



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni