Wachezaji wa Manchester United
wamewasili Jijini Liverpool tayari kwa mchezo wao wa leo usiku dhidi
ya timu ya Liverpool, unaongojewa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka
duniani.
Manchester United inakutakana na
Liverpool iliyokwenye fomu lakini kocha Jose Mourinho huwa anabahati
ya kufanya miujiza.
Mmoja wa shabiki wa soka akipiga selfie na Zlatan Ibrahimovic
Vikosi vya timu hizo mbili vinavyotarajiwa kushuka dimbani leo usiku
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni