Kiungo wa Manchester United,
Marouane Fellaini, ameonekana akiwa na furaha baada ya timu yake
kuibuka na ushindi dhidi ya Manchester City siku ya jumatano licha ya
kutocheza.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa
Ubelgiji alionekana akiwa mitaani Manchester jana na ndugu yake
Mansour ambaye wanafanana sana kwa muonekano pamoja na afro zao.
Marouane Fellaini na mdogo wake Mansour wakionekana wenye furaha
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni