Mesut Ozil amefunga magoli matatu
'hat-trick' ya kwanza kabisa katika maisha yake ya soka wakati
Arsenal ikiifundisha soka timu ya Ludogorets Razgrad katika mchezo wa
Ligi ya Mabingwa Ulaya ulioishia kwa ushindi wa magoli 6-0.
Katika mchezo huo Sanchez alifunga
goli la kwanza kwa kuudokoa mpira ndani ya boksi, kisha Theo Walcott
akafunga la pili kwa mpira wa kuzungusha naye Alex Oxlade-Chamberlain
kufunga la tatu kwa mpira uliokuwa unazagaa zagaa.
Alexis Sanchez akipiga mpira uliozaa goli la kwanza la Arsenal
Mpira uliopigwa kiufundi na Sanchez ukitinga wavuni
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni