Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa kwa niaba ya familia yake ametoa mchango wa fedha zaidi ya shilingi laki sita kwa Mama Hakika Swalehe kwa ajili ya kuwasidia watoto wake wenye ulemavu wa ngozi (ALBINO) Rashidi Juma (5) na Iklamu Juma (miezi 9). Mama Majaliwa amehidi kuwasaidia watoto hao vifaa vingine vya kutunza ngozi. Watoto hao wanaishi katika kijiji cha Mtope wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. Picha na Chris Mfinanga
Mama Majaliwa akimsalimia mtoto Iklamu Juma mweye ulemavu wa ngozi Kushoto ni Rashidi Juma (5) kaka wa Iklamu .;
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni