.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 25 Oktoba 2016

PAMBANO LA ANTHONY JOSHUA NA WLADIMIR KLISTCHKO KUTOFANYIKA MWAKA HUU

Bingwa wa uzito wa juu wa IBF Muingereza, Anthony Joshua, hatopigana tena na Wladimir Klistchko mwaka huu.

Mabondia hao walikuwa wapigane Desemba 10, lakini Klitschko amepata majeraha madogo wakati akifanya mazoezi.

Sasa Joshua atapanda ulingoni Desemba 10 kupigana na David Prince, huku pambano lao na Klitschko likitarajiwa kufanyika mwezi Machi ama Aprili mwakani.
                             Bingwa wa IBF Muingereza Anthony Joshua akiwa na mkanda wake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni