.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 9 Oktoba 2016

SAMSUNG GALAXY NOTE 7 NYINGINE ILIYOBADILISHWA YALIPUKA

Simu ya pili iliyobadilishwa ya Samsung Galaxy Note 7, iliyodaiwa kuwa salama na kampuni hiyo imeungua moto nchini Marekani.

Kampuni ya Samsung ililazimika kutoa modeli mpya ya simu hiyo baada ya kufuatia kuibuka malalamiko yanayosababishwa na hitilafu kwenye betri.

Mwanaume mmoja wa Kentucky amesema alihofia kufa baada ya kuamka kitandani na kuona chumba chake kimejaa moshi.

Tukio hilo linafuatia simu nyingine ya Galaxy Note 7 iliyobadilishwa kuwaka moto kwenye ndege ya shirika la Southwest Airlines siku ya jumatano.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni