.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 10 Oktoba 2016

SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI AZUNGUMZA NA WAANDISHI.

b1
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega katikati akizungumza na Waandisahi wa Habari wa Vyombo mbalimbali katika mkutano wa kuzungumzia maswala ya Bunge katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Wamwanzo ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Makongoro Nyerere na wa mwisho ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Rwanda Patricia Hajabakiga.
b3
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
b4
Mwandishi mwandamizi Salim Said Salim akiuliza maswali katika Mkutano wa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
b5
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akifanya mahojiano na Mwandishi wa Radio Dochwelle Salma Said katika Mkutano wa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
 

                                                          PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni