.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 10 Oktoba 2016

HOTELI YA BASI YENYE KARIBU KILA KITU KILICHOKUWEPO KWENYE CHUMBA CHA KIFAHARI

Basi lenye bomba la mvua, vitanda viwili pamoja na jiko ni miongoni mwa hoteli ya bei mbaya ambapo ili mtu kulala kwa siku moja hulipa paundi 380,000 za Uingereza.

Kama hiyo haitoshi basi hilo lina sehemu ya kuingiza joto kwa chini pamoja na paa la kioo kitandani ambalo humpa fursa mtu anayelala kuangalia nyota usiku huku akiwa amelala.
                                     Sehemu ya jiko katika basi hilo inavyoonekana ukiwa ndani 
                                                Vitanda viwili vilivyounganishwa katika basi hilo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni