Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa bondia mahiri nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Taarifa hizo zinasema kuwa, Mashali alipigwa na watu hao maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam. Tutawaletea taarifa zaidi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni