Wakazi wa Florida watahadharishwa
kujiandaa kukumbwa moja kwa moja na kimbunga Matthew, wakati huu
ambapo kimefika Bahamas, baada ya kusababisha maafa Haiti.
Gavana wa Florida amesema kuwa
kimbunga hicho kitasababisha uharibifu mkubwa, na tayari amri ya
kuwataka watu wanaokaa maeneo ya pwani kuhama imetolewa.
Watu wakiziba kwa hardboard maeneo ya madirisha na milango ili kudhibiti kimbunga Matthew ambacho kinaambatana na mvua ya upepo mkali
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni