Ripoti ya utafiti iliyofanywa na
Idara ya Sheria ya nchini Thailand imebaini kuwa wanawake wamekuwa
wakijitumbukiza kwenye uhalifu kutokana na uamsikini na elimu duni.
Utafiti huo umebaini kuwa asilimia
61 ya wanawake wengi waliokuwa wanashikiliwa magerezani mnamo mwaka
2013 na 2015 elimu yao ilikuwa haizidi ya shule ya msingi.
Asilimia 21 ya wafungwa wanawake
wanaelimu inayoishia sekondari, imesema ripoti hiyo iliyopewa jina la
“Wanawake Wanaotumikia Vifungo na Waliochini ya Uangalizi wa Dola”.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni