Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apokea hundi ya mfano ya zaidi shilingi milioni kumi na sita kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa lindi kwa ajili ya Rambirambi kwa wananchi wa mkoa wa Kagera. Kulia kwa Waziri Mkuu ni mkewe Mary Majaliwa. Waziri mkuu yupo mkoani Lindi katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Nachingwea na Ruangwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ahutubia wananchi wa wilaya ya Nachingwea katika kiwanja cha Sokoine. Waziri Mkuu alipokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusiana na biashara ya korosho ikamlazimu Waziri Mkuu kumuagiaza Waziri wa kilimo afanye mapitio makini kwenye bodi nzima ya korosho
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni