.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Oktoba 2016

WAZIRI MKUU MH. MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI SEIF

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kushoto akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mtaa wa Osterbay Jijini Dar es salaam. Viongozi hao ambao ndio watendaji Wakuu wa Serikali za SMT na SMZ wamekuwa na utaratibu wa kukutana kila baada ya kipindi kubadilishana mawazo ya kiutendaji baina ya pande hizo mbili za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mratibu Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar {SMZ} Dar-es-salaam Ndugu Issa Mlingoti Ali.
 
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni