Dereva wa basi aliyekuwa
akiwasafirisha wanafunzi 35 nchini Marekani amekamatwa baada
wanafunzi 5 kufa kufuatia kutokea ajali mbaya ya basi hilo.
Dereva huyo Johnthony Walker, 24,
amfunguliwa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuua bila ya kukusudia,
uendeshaji gari vibaya na kuhatarisha maisha.
Basi alilokuwa akiendesha Walker
lilianguka na kuugonga mti na kusababisha vifo vya wanafunzi watano.
Mwanamke mmoja akiwa na watoto watatu waliokuwa na majeraha mwilini baada ya kupata ajali
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni