Mchezaji wa zamani wa Ujerumani
Kocha Jurgen Klinsmann amefukuzwa kuinoa timu ya taifa ya Marekani.
Klinsmann, 52, ambaye alishinda
kombe la dunia na Ujerumani mwaka 1990, alikuwa akiinoa Marekani
tangu mwaka 2011.
Uamuzi wa kumtosa Klinsmann umekuja
baada ya Marekani kupoteza nyumbani 2-1 dhidi ya Mexico na kufungwa ugenini
4-0 na Costa Rica katika michezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni