Rapa nyota nchini Marekani Kanye
West amelazwa hospitali kwa muda kwa usalama wake baada ya
kuchanganyikiwa kiakili.
Chanzo kimoja kimesema rapa huyo kwa
sasa yupo chini ya uangalizi wa madaktari wa akili katika kituo cha
UCLA Medical Center huko Los Angeles na kusitisha ziara yake ya
muziki ya Saint Pablo.
Rafiki zake wameieleza DailyMail.com
kuwa kuchanganyikiwa kwa Kanye kunatokana na matatizo ya ndoa yake na
Kim Kardashian, kuvunja urafiki na Jay Z na kumuonea wivu Beyoncé.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni