Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo kuondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam wakati Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais
wa Chad, Idriss Deby akipokea heshima kwenye uwnja wa ndege wa Julius
Kambarage Nyerere wakati alipoondoka nchini Novemb 28, 2016. Kushoto
kwake ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam wakati Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Chad, Idriss Deby akiwapungia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakati alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza na kushoto ni mke wa Rais wa Chad, Hinda Deby. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni