.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Novemba 2016

SUKARI YASAIDIA KUREJESHA NGOZI KATIKA HALI YA UJANA

Kama unajali afya ya ngozi yako achana na kuhangaika kutafuta vipodozi vya bei mbaya badala yake unaweza kuifanya ngozi yako kuendelea kuwa na muonekano mzuri kama kijana kwa kutumia vitu vinavyopatikana jikoni mwako.

Kwa mujibu wa kitabu kipya cha kujikinga na ngozi kuzeeka, sukari inaweza kuwa ni moja ya jibu zuri la kuirejeshea ujana ngozi yako, papai pamoja na mafuta ya Argan ikiwa ni sehemu tu ya vyakula vinavyopatikana jikoni.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni