Maaskofu na wachungaji wakiuombea mwili wa Spika Mstaafu, Marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yaliyofanyia Urambo Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake yaliyofanyika Urambo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa Spika Mstafu , marehemu Samuel Sitta akiongozwa na Mgalula Fundikira kwenda kwenye kaburi la mwanae katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika urambo, Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipokuwa ukiteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika urambo, Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mwanane katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mama Margareth Sitta ambaye ni Mjane wa marehemu Spika mstaafu, Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Viongozi wa Vyama vya siasa na serikali pamoja na wanafamilia wakiweka udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta wakiweka shada la maua kwenye kaburi katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mama Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika Mstafu, marehemu Samuel Sitta akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora akieleke Urambo khudhuria mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta, Novemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Viongozi wa Serikali wa mkoa wa Tabora, Viongozi wa Vyama vya siasa na dini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora akiwa njiani kwenda Urambo kwenye mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora. Wote walikuwa wakienda Urambo kushiriki mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo bada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Spika Mstaafu Samuel Sitta, Urambo mkoani Tabora ambako alishiriki mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mjane wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Urambo Tabora kwa mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wanafamilia na ndugu wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta bada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Urambo mkoani Tabora kwa mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wanafamilia na ndugu wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta bada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Urambo mkoani Tabora kwa mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Busega na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani ambaye sasa ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu katika mazishi ya Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Tabora, Novemba 12, 2016. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba katika mazishi ya Spika Mstafu, Marehemu Samuel Sitta, Urambo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni