Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Biashara na maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen wakatizama moja ya mitambo ya umeme katika Kituo cha TANESCO cha Mikocheni kabla ya kuzindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) wakitazama mfumo wa usambazaji umeme kabla ya Waziri Mkuu kuzindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba 16, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto kwake) wakitazama mfumo wa usambazaji umeme kabla ya Waziri Mkuu kuzindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba 16, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kuzindua Mradi wa Uboreshaji
Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha
Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba16, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen akizungumza katika Uzindunduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya umeme katika jiji la Dar es salaam uliofanywa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza katika Uzindunduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya umeme katika jiji la Dar es salaam uliofanywa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen na kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen na kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watalaam kutoka Finland baada ya kuzindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen na kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni