Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, (aliyevaa joho jekundu), akiwa nje ya Ofisi Kuu ya Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho ambapo wahitimu 154 kutoka nchi nane Barani Afrika wametunukiwa Astashahada na Shahada za Takwimu Rasmi zinazotolewa na chuo hicho.
Askari wakipandisha bendera za mataifa mbalimbali ya Kiafrika ambazo wanafunzi wake wamehitimu astashahada na Shahada katika Chuo cha Takwmimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyoike Jijini Dar es salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho ambapo wahitimu 154 kutoka nchi saba Barani Afrika wametunukiwa Astashahada na Shahada za Takwimu Rasmi zinazotolewa na chuo hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatunuku Astashahada na Shahada za Takwimu Rasmi wahitimu 154 kutoka nchi nane barani Afrika wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, (kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya makamu wa Rais kuwatunuku vyeti wahitimu 154 kutoka nchi nane za bara la Afrika waliohitimu Astashahada na Shahada za Takwimu Rasmi zinazotolewa na Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, (aliyevaa joho jekundu katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi waliohitimu kozi ya Takwimu Rasmi katika ngazi ya Astashahada na Shahada wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es salaam, ambapo wahitimu 154 kutoka nchi nane za bara la Afrika wamehitimu mafunzo hayo katika chuo hicho.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni