Mwanaume mmoja nchini Australia
amewasha moto kwenye benki moja Jijini Melbourne na kujichoma moto
pamoja na kujeruhi watu wengine 26.
Polisi wamesema watu sita kati ya
majeruhi hao wapo katika hali mbaya, huku wengine wakiwa wameungua na
kuvuta moshi, wakiwemo watoto.
Polisi wamesema mtuhumiwa huyo
aliingia kwenye tawi la benki ya Commonwealth, katika kitongoji cha
Springvale na kutumia mafuta yanatowaka kusha moto.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni