Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Joseph Abdulla Meza wa Tatu kutoka Kushoto akikiongoza Kikao cha Ushirikiano kati ya Watendaji Wakuu wa Ofisi za Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Vuga Mjini Zanzibar.
Wa Tatu kutoka Kulia ni Nd Obey Assery anayeuongoza Ujumbe wa Viongozi Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kulia ya Nd. Meza ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Ahmad Kassim Haji na mratibu Mkuu Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za SMZ Dar es salaam Nd. Issa Mlingoti Ali.
Picha na – OMPR –ZNZ.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni