.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Novemba 2016

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA (RAS) KAMISHNA DIWANI ATHUMANI LEO IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Diwani Athumani baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Katibu wa Maadili ya Viongozi – Siasa, Bw. Waziri Kipacha akimuongoza Kamishna Diwani Athumani kula kiapo cha uadilifu cha viongozi wa umma baada ya kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamishna Diwani Athumani pamoja na viongozi waandamizi wa serikali na vyombo vya ulinzi na usalama umma baada ya Kamishna Diwani kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.

PICHA NA IKULU



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni