.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 13 Novemba 2016

SAFARI YA KUTOKA TABORA, DODOMA HADI DAR KWA NDEGE YA ATCL


Viongozi wa serikali, Vyama vya siasa na wabunge wakisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam kwa ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ya Bombardier, Novemba 13, 2016. Wote walikwenda Urambo Tabora kumzika Spika Mstafu Samuel Sitta Novemba 12, 2016. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni