.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 13 Novemba 2016

TAIFA STARS WAJIFUA UWANJA WA TAIFA ZIMBABWE

Wachezaji wa kikosi cha timu ya soka cha Taifa, Taifa Stars Mbwana Sammata ( kushoto 0 na Thomas Ulimwengu wakijadiliana jamabo wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Taifa Zimbabwe, Harare jana.
Wachezaji wa kikosi cha timu ya soka cha Taifa, Taifa Stars 
Wachezaji wa kikosi cha timu ya soka cha Taifa, Taifa Stars wakiwa mazoezini mjini Harare, Zimbabwe
Kocha Mkuu wa Stars, Charles Bonoifas Mkwasa ( kushoto ) akiwapa maelekezo wasaidizi wake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni