Ujerumani sasa wameweka rekodi ya
kufanya vyema katika hatua ya kuwania kufuzu kutinga michuano ya
kombe la dunia kwa kushinda michezo minne na kuendelea kuongoza kundi
lao, huku wakiwa hawajafungwa goli.
Sam Khedira akiifungia Ujerumani goli la kwanza katika mchezo huo
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Serge Gnabry akiifungia Ujerumani goli la pili katika mchezo huo.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni