.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Novemba 2016

WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE WATEMBELEA HIFADHI YA SAADANI

Waandishi wa habari kutoka chama cha waandishi wa habari wananwake Tanzania (Women Journalist)wapata fursa ya kutembelea hifadhi ya Taifa Saadani,kushoto ni mhifadhi utalii Bi.Aipakunda Mungure akiwapa mapokezi makubwa waandishi mara ya baada ya kuwasili katika hifadhi hiyo jana.
Waandishi wa habari wanawake walipowasili katika hifadhi ya Taifa ya Saadani
Waandishi wa habari wakiwa wanasikiliza jambo
  Geti la kuingia hifadhi ya Taifa ya Saadani

Mwenyekiti wa chama cha waandishi wananwake Esther Macha akiwa anajitambulisha
Kaimu Mhifadhi mkuu na mkuu wa idara ya uhifadhi Lomi Ole Meikasi akizungumza na waandishi wa habari wanawake ofisini kwake jana ambapo alisema kuwa Hifadhi ya Saadani inavivutio vingi ikiwemo fukwe nzuri zenye uasilia wake,aina mbalimbali za wanyama,ndege mbalimbali,Mazalia ya kasa,misitu ya mikoko na ile ya ukanda wa pwani na maeneo ya mabaki ya kihistoria
Hapa waandishi wakiwa wanajiachia katika fukwe za bahari


Eneo hii linafahamika kama serengeti ndogo
Nyumbu walivyojipanga katika hifadhi ya Saadan
Mnyama Twiga ni kivutio kikubwa katika hifadhi ya saadani
waandishi wa habari wakiwa wanajiandaa kufanya utalii wa boti
 
(Picha na Pamela Mollel )

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni