Bondia aliyestaafu ngumi Floyd
Mayweather amegeukia upromota wa ngumi katika pambano la Badou Jack
na James DeGale la uzito wa super middleweight.
Mayweather ameanza kibarua hicho
kipya wiki hii, huku kukiibuka kwa uvumi wa uwezekano wa kurejea
ulingoni katika pambano la marudio na mpinzani wake mkuu Manny
Pacquiao.
Mabondia Jack na DeGale wanatarajia
kupanda ulingoni katika pambano linalongojewa kwa hamu mno la mkanda
wa super middleweight huko Brooklyn.
Promota Floyd
Mayweather akimnong'oneza kitu bondia Badou Jack
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni