Matumaini ya Besiktas kutinga hatua
ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana usiku wakati wachezaji wao
wawili wakitolea nje huku wakikubali kichapo kikali cha magoli 6-0
kutoka kwa Dynamo Kiev.
Mchezo huo ulianza kuharibika dakika
ya 29, pale beki wa Besktas Andreas Beck alipotolewa nje kwa kadi
nyekundu kwa kumchezea rafu Derlis Gonzalez na Dynamo kupewa penati
iliyozaa goli la pili.
Katika mchezo huo Vincent Aboubakar
naye alipewa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi ya pili ya njano na
kuzidi kulizamisha jahazi la Besiktas.
Junior Moraes akifunga goli la sita la Dynamo Kiev katika mchezo huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni