.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Desemba 2016

FURAHIA WIMBO MPYA WA MSANII CASTLE MC-NIMERUDI.

Castle MC ni msanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Ameachia wimbo mpa uitwao “Nimerudia” akimshirikisha H.Criss. Wimbo umetengenezwa na producer Day Dream kutoka studio za Over The Classic Music Jijini Mwanza.

Wimbo unavutia kusikiliza na unatoa ujumbe wa watu wengi walio kwene mahusiano ambapo baada ya kutengana, mmoja hurudi na kutaka kufufua upya mahusiano. Hakika ni HipHop ya maana kusikiliza.

                                                                           Bonyeza hapo chini kuusikiliza

                                                              https://www.hulkshare.com/zulewood2y2o

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni