Kikosi cha Zinedine Zidane kimetua
nchini Japan hii leo kikitokea Madrid tayari kwa michuano ya kombe la
dunia la vilabu.
Kocha huyo Mfaransa ametaja kikosi
chake cha wachezaji 23, akiwemo Cristiano Ronaldo na Karim Benzema
kwa michuano hiyo.
Karim Benzema akiwa na Raphael Varane baada ya kutua Japan
Kocha Zinedine Zidane akiwa na kikosi chake baada ya kutua Japan hii leo



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni