Mke wa rais wa Marekani, Michelle
Obama, amevaa gauni lenye rangi na michoro inayoshabihiana na mti wa
Krismas wakati akiwa kwenye hafla ya kutoa heshima kwa watu mashuhuri
ya Kituo cha Utamaduni cha Kennedy.
Michele alikuwa ameambatana na
mumewe rais Barack Obama, ambapo rais huyo ambaye amekuwa hakosi
hafla hiyo alipokelewa vyena baada ya ukumbi mzima kusimama katika
kuonyesha kumkubali.
Rais Barack Obama akimtambulisha mkewe Michelle Obama katika hafla hiyo
Watu katika ukumbi mzima wakisimama kuonyesha kumkubali Rais Obama
Nyota Al Pacino, Mavis Staples,
James Taylor, Martha Argerich walitambuliwa kwa mchango wao kwa
utamaduni. Hapa wakipiga makofi kushukuru.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni