.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Desemba 2016

WAGONJWA SABA WAPOTEZA MAISHA WAKATI MGOMO WA MADAKTARI UKIENDELEA KENYA

Makali ya mgomo wa watumishi wa afya Kenya ulioanza jana, yamesababisha wagonjwa wapatao saba kufariki dunia jana, huku wagonjwa wengine wakiruhusiwa kutoka hospitalini kabla ya hata ya afya zao kutengemaa.

Wagonjwa wanne wamethibitishwa kufa saa kadhaa kupita baada ya mgomo huo kuanza kwenye hospitali za wilaya za Kiambu na Mbagathi na mgonjwa moja Kisumu wengine wawili hospitali ya Kinango.

Katika hospitali ya Mbagathi, wagonjwa wengine watatu waliachwa bila ya huduma ya kupewa dawa ama msaada wowote hadi kupoteza fahamu, wakati madaktari na wauguzi wakigoma kuingia kazini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni