KUMEKUCHA- PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA MAJALIW
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi waKitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori(Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne maghembe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande (kulia) na Mkuu wa Hifadhi ya Ikorongo Gurunetya Serengeti, Nollosco Ngowe wakiwa wamebeba sanduku lenye pembe za faru John baada ya kumwonyesha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni