Mshambuliaji nyota wa Barcelona,
Luis Suarez, amekubali kuingia mkataba mpya na timu hiyo ya nchini
Hispania.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa
Liverpool amefunga magoli 97 na kushinda vikombe vinane tangu ahamie
Nou Camp Julai 2014 kwa ada ya paundi milioni 75.
Taarifa ya Barcelona mkataba huo
ambao unamfunga Suarez, 29, hadi mwaka 2021 utatiwa saini hii leo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni