MAJALIWA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 3, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha mkuki na ngao alivyopewa na wazee wa kimasai wa Arusha kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Waendesha bodaboda wa Arusha wakiingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa maandamano kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo, Desemba 3, 2016. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni