.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Desemba 2016

MAJALIWA AWASILI LOLIONDO KUENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA ARUSHA

sh1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi mbalimbali za mikono hasa mapambo yanayotengenezwa na wanawake wa kimasai katika kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipotembelea Kituo cha Mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni kijijini hapo Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh2 sh3
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kazi mbalimbali za mikono hasa mapambo yanayotengenezwa na wanawake wa kimasai katika kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipotembelea Kituo cha Mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni kijijini hapo Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh4
Wananchi wa kijiji cha Ololosokwan kwenye tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia akiwa katika ziara ya wilaya ya Ngorongoro Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake wa Kimasai wakati alipotembelea Kituo cha mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni kilichojengwa na UNICEF katika kijiji cha Ololosokwan kilichopo Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kiltaro katika tarafa ya Loliondo kuendelea na ziara yake wilayani Ngorongoro Desemba, 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh9
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya nyumba ya asili ya wamasai maarufu kwa jina la Emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan kwenye tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sh10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya nyumba ya asili ya wamasai maarufu kwa jina la emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan kwenye tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni