Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye viwanja vya hospitali ya wilaya ya Monduli kuzindua hospitali hiyo akiwa katika ziara ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kabla ya kuzindua hospitali ya wilaya ya Monduli akiwa katika ziara ya wilaya iyo, Desemba 4, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Hospitali ya wilaya ya Monduli akiwa katika ziara ya wilaya hiyo Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni