.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 2 Desemba 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA UMMA ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Desemba 2, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Meya wa jiji la Arusha, Calist Lazaro, Mkuu wa Wilaya ya Monduli na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, Iddi Kimanta na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri wa mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Simba wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea bahasha yenye nyaraka mbalimbali zinazoonyesha ubadhirifu unaofanyika katika halmashauri ya Wilaya ya Arusha kutoka kwa Benard Mtei wa Idara ya Afya katika halmashauri hiyo wakati alipozungumza na watumishi wa serikali na halmashauri mjini Arusha Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Desemba 2, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Meya wa jiji la Arusha, Calist Lazaro, Mkuu wa Wilaya ya Monduli na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, Iddi Kimanta na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni