.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 31 Desemba 2016

MANCHESTER UNITED YAMALIZA MWAKA KWA USHINDI OLD TRAFFORD

Mshambuliaji Anthony Martial na kiungo Paul Pogba wamefunga magoli ya dakika za mwisho wakati Manchester United ikipata ushindi wanaostahili ddhidi ya Middlesbrough.

Mabchester wakiwa nyumbani katika dimba la Old Trafford walijikuta wakiwa nyuma baada Grant Leadbitter kuipatia Middlesbrough goli la kuongoza.

Wakati muda ukielekea kuyoyoma Mfaransa Martial alifunga goli katika dakika ya 85 na kufuatiwa na goli la pili lililofungwa na Mfaransa Pogba kwa mpira wa kichwa.
                            Anthony Martial akikimbia baada ya kufunga goli la kusawazisha
      Kipa Valdes akibakia kuangalia mpira wa kichwa uliopigwa na Pogba ukijaa wavuni
   Zlatan Ibrahimovic akiwa amepiga mpira kwa teke uliojaa wavuni lakini goli lake lilikataliwa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni