Mke wa Balozi Andrei Karlov
amebubujikwa na machozi wakati mwili wa mumewe ukiwasili nchini Urusi
na kupokelewa wanajeshi baada ya kuuwawa jumatatu kwa kupigwa risasi
Jijini Ankara nchi Uturuki.
Maria, mama wa Balozi huyo alipata
wakati mgumu kuzuia machungu yake wakati jeneza lililokuwa na mwili
wa mwanae lililofunikwa na bendera ya Urusi likibebwa na wanajeshi
katika uwanja wa Kimataifa wa Vnukovo Jijini Moscow.
Wanajeshi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa balozi Andrei Karlov
Mke wa balozi, Marina mwenye nguo nyeusi akiwa na mama mkwe wake Maria wakilia kwa uchungu huku wakishika jeneza
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni