Everton inatarajia mshambuliaji wao
Romelu Lukaku atasaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaomfanya kuwa
mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa mno katika historia ya klabu
hiyo.
Wakala wa Lukaku, inaaminika yupo
mbioni kukutana na mmiliki mkuu wa Everton Farhad Moshiri.
Mkataba wake wa sasa aliosaini
akitokea Chelsea kwa asa ya paundi milioni 28, unaendana na mshahara
wa paundi 75,000 kwa wiki.
Romelu Lukaku akijaribu kuisumbua ngome ya Liverpool
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni