


Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akifafanua ( katikati) jambo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa kinondoni katika chuo cha maafisa wa polisi kidatu mkoani Morogoro. Kulia ni Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo, Nsato Marijani ( Picha na Tamimu Adam- Jeshi la POLISI)
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ( CP) Nsato Marijani akimsikiliza mwakilishi wa Taasisi ya Hans Sidel Bi Juliana wakati wakimsubili Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi kuwasili katika chuo cha maafisa wa Polisi Kidatu kwa ajili ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwaaskari Polisi wa mkoa wa kipolisi kinondoni. ( picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni