Mamlaka za nchi ya Colombia zimesema
ushahidi unaongezeka kuhusiana na ndege iliyoanguka ikiwa na
wachezaji wa timu ya Brazil kwamba ilianguka kutokana na kuishiwa na
mafuta wakati ikijaribu kutua.
Mkuu wa Mamlaka ya Anga Colombia
Alfredo Bocanegra uchunguzi wa awali katika eneo la tukio la ajali
unaonyesha kuwa ndege hiyo iliyokuwa na watu 77 ilikuwa haina mafuta
wakati ikianguka.
Ndege hiyo imeelezwa kuwa ilikuwa
imezidisha dakia 20, kati ya saa nne inazopaswa kuruka angani
kutokana na ujazo wake wa mafuta, kabla ya kuanguka muda mfupi baada
ya rubani wake kuomba msaada.
Rubani wa ndege hiyo Miguel Alejandro Quiroga alisikika akisema wanaomba msaada


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni