.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 2 Desemba 2016

NICO ROSBERG ATANGAZA KUSTAAFU MARA MOJA FORMULA 1

Dereva bingwa wa Dunia Nico Rosberg ametangaza kuwa amestaafu mara moja kushiriki mbio za magari za Langalanga (Formula 1).

Dereva huyo mwenye umri wa miaka 31 raia wa Ujerumani alishinda kwa mara ya kwanza ubingwa wa dunia jumapili, akimshinda dereva mwenzake wa Mercedes, Lewis Hamilton licha ya kumaliza wa pili katika mbio za Abu Dhabi.

Roseberg amenukuliwa akisema amepanda mlima na kwa sasa yupo kileleni hivyo anajisikia vyema kustaafu.
Nico Rosberg akikumbatiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mercedes baada ya kutangaza kujiuzulu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni